Maisha

Thursday, August 19, 2010

Shanga za Irene

Nilivyogundua umuhimu wa Ushanga

Imeandikwa na Dada Chiku

Haya Akina Dada,

Somo leo ni USHANGA. Kwanza Ushanga ni nini? Kwa kimombo, ni beads. Ukipita mitaa Kariakoo, utakuta kila rangi na design zinauzwa na akina mama wa kiMasai (Wanafanya Consultation pia). Zile ndogondogo kabisa siyo hizo kubwa za kuvaa kwenye nywele. Ni pambo muhimu mno kwenye mwili wa mwanamke. Hata kwa watoto wadogo, aliyevaa shanga, unajua ni msichana huyo.

Sasa mimi nilijfanya nime’zungu’tika, na kuaacha kuzivaa. Hasa baada ya ushanga niliyovaa kukatika na kumwagika nikiwa kwenye daladala. Uhusiano na boy-friend wangu ilikuwa kwenye Plateau…..yaani flet. Huyo boy-friend mimi nilimpenda sana. Nikaenda kwa Aunti wangu Temeke na kumwelezea shida yangu na kumwaomba Ushauri.

Aunti akanipeleka chumbani kwake. Akaniambia nivue nguo. Nilisita kwanza, lakini alisisitiza nivue. Nikavua. Akatazama mwili wangu, akasema, kweli mwili wako bado nyororo, lakini umekosa kitu kimoja muhimu….USHANGA!

Nilipigwa Butwaa… Ushanga! Aunti alisema, ndio umekosa Ushanga. Alienda akafungua sanduku yake, akanipa enye rangi ya light blue, njano, na red. Nikazivaa kiunoni Aunti akaanza kutabasamu, akaniambia, haya vaa sasa na nenda kwa boyfriend wako. Uone kama mambo ni tofauti.

Nilienda nyumbani, niloga na kuvaa nguo ya Outing. Nikapanda daladala na kwenda mjini. Nilikutana na boyfiriend wangu Posta Mpya …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafu blues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kucheza Blues. Miili yetu iligusana na akaana kunipapasa taratibu kufuatana na beats za muziki. Nilifurahi sana. Akateremsha mikono yake kwenye kiuno changu. Alivyogusa ile shanga aliyonipa Aunti akawa kama mwili wake imekufa ganzi. Alisisimuka we! Akanishika kwa nguvu, niligundua kuwa mboo yake ile kuwa ATTENTION!

Akaniuliza taratibu na kipole , "Chiku mpenzi, umevaa nini?"
"Nikamjibu kwa aibu , " Nimevaa Ushanga mpenzi".
Akasema, " Mimi najua kuwa ni ushanga ila tangu tuwe marafiki hujazivaa"
"Kweli, mpenzi. Aunti amenipa leo"
"Huyo aunti wako mjanja, anajua mambo"

Wimbo ulivyoisha tukaondoka kwenda nyumbani kwake. Siku hiyo sex ikawa nzuri kuliko siku zote ambazo nilikuwa naye. Alikuwa na furaha mno. Kesho yake kazini kwake, akawa anatabasamu mpaka wenzake wakamwuliza ‘Vipi’. Na mimi nilipanda daladala kwenda Kariakoo, nilinunua shanga nyingi za kila rangi. Baada ya hapo nilienda duka na kumnunulia Aunti Zawadi ya Khanga kama shukrani.

No comments:

Post a Comment