Monday, August 16, 2010

Pole sana Mungai

Pole sana Muheshimuwa pamoja wa wenzako mliopelekwa mahakaman kwa tuhuma za kutoa rushwa ili muweze kupita katika kura za maoni za CCM.Lakini napenda kusema y kwamba kama nikweli basi vizuri mkaomba radhi wa watanzania na kama ni kweli basi acheni sheria ichukue mkondo wake mpate ka adhabu na nyie.

No comments:

Post a Comment