Friday, August 20, 2010

Kumfikisha mwanamke kileleni

Je ni urefu au unene?
Je, urefu wa uume ni suala muhimu kwa mwanamke kuridhika kimapenzi?Hii ni imani potofu ambayo imewafanya wanaume wengi kujiingiza kufanya surgery za gharama kubwa na wengine kupoteza pesa zao kwa ajili ya kutafuta dawa za kienyeji ili kuongeza maumbile kuwa marefu zaidi.
Huko ni kupoteza muda na pesa.
Ingawa urefu wa uume hauna umuhimu kama imani potofu inavyodai bado suala la msingi ni uimara wa misuli ya uume; kwani misuli ya uume ikiwa imara basi mwanaume huwa na uwezo (strength/flexibility) ambayo itaweza kumpa sifa mume kwa mke wake kuliko kushabikia kuwa na jumbo size.
Hii ina maana bila kujali una urefu kiasi gani au ufupi kiasi gani, kama una misuli imara hilo ndilo jambo la msingi kwa mwanaume.

Tuweke suala la hiyo imani potofu pembeni hivi ni kitu gani mwanamke huhitaji physically ili afurahie tendo la ndoa?Suala la muhimu ni kuwa na ufahamu wa anatomy kuhusu mwanamke (uke); ukweli ni kwamba nervesnyingi zipo within inches mbili kutoka mlango wa uke (vaginal opening) na asilimia kubwa ya nerves zipo katika mzunguko wa mlango wa uke.
Hii ina maana mwanaume yeyote mwenye uume wa inches mbili kama anajua namna ya kumfikisha mke kuridhika au kufika kileleni kupitia uke (vaginal climax) basi ataweza kumfikisha mke wake kileleni.

Je, ni unene (thickness) wa uume huweza kumridhisha mwanamke kimapenzi?Ni kweli unene inaweza kuwa ni factor hasa kutokana na uwezo wa mwanamke alionao kukaza misuli ya uke.
Je mwanamke ana umri gani, amekuwa na partners kiasi gani na amezaa watoto wangapi na zaidi amefanya kitu gani kuhakikisha misuli yake (uke) inakuwa imara.

Mfano:Ingawa suala la thickness si tatizo kwa wanawake wa nchi za Asia kama Japan, Singapore au Philippines kwa kuwa suala la kukaza misuli kwa wanawake ni moja ya sanaa.
Wanawake wa huko hucheza michezo ya kuingiza ping pong-ball (mipira mfano wa tennis) sita kwenye uke na kuzirusha futi 15 ili kuingia kwenye ndoo huku kila kimpira kinapotoka kinaendana na popping sound bila kukosa hata kimoja.
Pia huweza kuingia ndizi iliyomenywa kwenye uke huanza kuzikata ndizo (slice) vipande vipande huku vikidondoka.

Fikiria sasa likija suala la mapenzi hii inaonesha kwamba hao wanawake wanajua jinsi ya kuridhishana na kwao size does not matter.

Bahati mbaya ni kwamba tamaduni nyingi za Africa, ulaya na Amerika hazina mazoea ya kuwa na mazoezi ya kukaza misuli ya uke au uume.

Hivyo thickness ni muhimu kwa mwanamke ambaye uke wake ni loose na weak pia kama misuli yake hoi.
NB: 
Hapa sina maana mwanamke ajihusishe na mchezo huu, it is illegal; najaribu kuelezea uwezo wa misuli ya uke ukifanyiwa mazoezi vitu inaweza kufanya.
Je, inakuwaje kama mwanaume ana uume mkubwa (unene na urefu) zaidi ya wastani ambao wanaume wengi huwa?Tafiti nyingi zinaonesha wanawake wengi hulalamika pale mwanaume anapokuwa na uume mkubwa zaidi ya kawaida na hasa kama hajui namna ya kuutumia.
Wanawake wengi huona ni huge barrier kwa ajili ya ku-enjoy sex kama mke na mume na wakati mwingine mwanamke hujisikia uncomfortable na huishia kukwepa.

Pia wanaume wenyewe ambao wana uume mkubwa tafiti zinaonesha kwamba wengi hujikuta katika huzuni na wanaombolezo kwa sababu partners wao kujisikia maumivu na kuumia na hata imesababisha mahusiano ya kimapenzi kati ya mke na mume kuzolota.

Je, hutokea nini pale mwanaume mwenye jumbo size akakutana na mwanamke mwenye uke uliobana?
Na wanaume ambao ukubwa wa uume (thickness ni zaidi ya kawaida wanapokutana na mwanamke ambaye ana size ndogo ya uke, au hakuwa wet sawasawa au hajazaa mtoto kabisa au bikira suala la sex linakuwa shughuli nzito kuihimili kwani lazima mwanamke akubaliane na pressure na pain za kuta za uke zinapochanwa.

Na pia kama mwanaume ana urefu unaozidi inches 6 ambayo ni average size kwa wanaume basi mwanamke anaweza kujikuta anajuta kwani anaweza kuhisi mwanaume anagonga hadi kwenye kizazi (internal reproductive organs).
Na matokeo yake mwanamke hujikuta anakaribisha magonjwa kama cysts ambayo huhitaji surgery na pia huweza kupata infections ambazo huweza kusababisha kukosa watoto.


Nini kifanyike?Jambo la msingi ni kwa mwanaume kufahamu namna ya kutumia tool yake vizuri, hii ni pamoja na kuwa caring, kufanya maandalizi ya kutosha.

Je, nini faida ya kuwa na uume mkubwa au uume mdogo?Kama mwanamke ana uke ambao ni loose na hawezi kuthibiti mwendo (misuli imelegea) basi tool kubwa kama hiyo huweza kumsaidia kupata feelings za kufurahia mapenzi hapa haijalishi mwanaume ana skills zozote au la.
Na mwanaume ambaye ana uume mdogo kuliko kawaida anaweza kuwa na faida kwa mwanamke ambaye ana uke mdogo (tight).

Hii ina maana mwanaume mwenye uume mkubwa ana match na mwanamke mwenye uke loose na hii combination huwezesha hao wawili kuwa na ridhiko kimapenzi.
Na mwanaume mwenye umbile dogo ana match na mwanamke mwenye uke tight.

Thursday, August 19, 2010

Shanga za Irene

Nilivyogundua umuhimu wa Ushanga

Imeandikwa na Dada Chiku

Haya Akina Dada,

Somo leo ni USHANGA. Kwanza Ushanga ni nini? Kwa kimombo, ni beads. Ukipita mitaa Kariakoo, utakuta kila rangi na design zinauzwa na akina mama wa kiMasai (Wanafanya Consultation pia). Zile ndogondogo kabisa siyo hizo kubwa za kuvaa kwenye nywele. Ni pambo muhimu mno kwenye mwili wa mwanamke. Hata kwa watoto wadogo, aliyevaa shanga, unajua ni msichana huyo.

Sasa mimi nilijfanya nime’zungu’tika, na kuaacha kuzivaa. Hasa baada ya ushanga niliyovaa kukatika na kumwagika nikiwa kwenye daladala. Uhusiano na boy-friend wangu ilikuwa kwenye Plateau…..yaani flet. Huyo boy-friend mimi nilimpenda sana. Nikaenda kwa Aunti wangu Temeke na kumwelezea shida yangu na kumwaomba Ushauri.

Aunti akanipeleka chumbani kwake. Akaniambia nivue nguo. Nilisita kwanza, lakini alisisitiza nivue. Nikavua. Akatazama mwili wangu, akasema, kweli mwili wako bado nyororo, lakini umekosa kitu kimoja muhimu….USHANGA!

Nilipigwa Butwaa… Ushanga! Aunti alisema, ndio umekosa Ushanga. Alienda akafungua sanduku yake, akanipa enye rangi ya light blue, njano, na red. Nikazivaa kiunoni Aunti akaanza kutabasamu, akaniambia, haya vaa sasa na nenda kwa boyfriend wako. Uone kama mambo ni tofauti.

Nilienda nyumbani, niloga na kuvaa nguo ya Outing. Nikapanda daladala na kwenda mjini. Nilikutana na boyfiriend wangu Posta Mpya …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafu blues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kucheza Blues. Miili yetu iligusana na akaana kunipapasa taratibu kufuatana na beats za muziki. Nilifurahi sana. Akateremsha mikono yake kwenye kiuno changu. Alivyogusa ile shanga aliyonipa Aunti akawa kama mwili wake imekufa ganzi. Alisisimuka we! Akanishika kwa nguvu, niligundua kuwa mboo yake ile kuwa ATTENTION!

Akaniuliza taratibu na kipole , "Chiku mpenzi, umevaa nini?"
"Nikamjibu kwa aibu , " Nimevaa Ushanga mpenzi".
Akasema, " Mimi najua kuwa ni ushanga ila tangu tuwe marafiki hujazivaa"
"Kweli, mpenzi. Aunti amenipa leo"
"Huyo aunti wako mjanja, anajua mambo"

Wimbo ulivyoisha tukaondoka kwenda nyumbani kwake. Siku hiyo sex ikawa nzuri kuliko siku zote ambazo nilikuwa naye. Alikuwa na furaha mno. Kesho yake kazini kwake, akawa anatabasamu mpaka wenzake wakamwuliza ‘Vipi’. Na mimi nilipanda daladala kwenda Kariakoo, nilinunua shanga nyingi za kila rangi. Baada ya hapo nilienda duka na kumnunulia Aunti Zawadi ya Khanga kama shukrani.

Jinsi kusafisha uke


Jinsi ya kusafisha Uke wako!

Awali nilikuwa nikidhani kuwa kila mwanamke anapaswa na anafahamu jinsi ya kujisafisha ndani ya uke mara tu baada ya kuondolea bikira (kuanza mahusiano ya kimapenzi na hatimae ngono), lakini nimekuja kugundua ukweli kwamba wanawake wengi hawajui uke unasafishwa vipi?

Baadhi huofia kuwashwa na sabuni na wengine hudhani utokwaji wa utoko ni kawaida hivyo hawana budi kuacha kama ilivyo na badala yake hutumia “pads” ndogo au “wipes” zenye manukato ili kuzuia harufu/shombo ya uke na vilevile kuzuia uchafukwaji wa “vyupi” vyao.

Huitaji kuficha(Bali punguza) harufu ya asilia ya uke kwa kutumia bidhaa zenye mahukato hasa ukiwa na mpenzi wako kwani hiyo harufu ndio uanamke wenyewe na ikikutana na ile ya kiume ndio raha ya kufanya mapenzi na ikiwa mpenzi wako ni “aliyejaaliwa” atakuwa akiipenda harufu hiyo na hubaki akilini mwake hali inayoweza kumfanya akupende zaidi au kutoweza kufanya ngono na mtu mwingine bali wewe.

Hujawahi kusikia wanaume wanashindwa kutoka (date) wanawake wengine baada ya wapenzi wao kufariki dunia? Au mwanaume kushindwa kuendelea na maisha yake ya kimapenzi bila wewe na matokeo yake hata mkiachana lazima atarudi tu kwako….sababu moja wapo ni hiyo.

Kujiswafi ili kupunguza ukali wa shombo/harufu ya uanamke:
Utoko hujikusanya ikiwa mwili umetulia (usiku) hivyo hakikisha unajisafisha kila asubuhi kabla hujaanza kuoga.
Wengi wanatumia maji ambayo usalama wake ni wa utata, sasa ili kuepuka maambukizo hakikisha maji ya kujisafishia sehemu zako za siri yamechemshwa vizuri. Unaweza kutenganisha maji ya kuoga na ya kusafishia uke ukitaka.

*Kabla hujaguza uke wako hakikisha umesafisha mikono yako vizuri kwa sabuni (ukiweza tumia sabuni yenye dawa) na wakati huo huo pitisha sabuni juu ya uke wako ili kuondoa vijidudu kama vilikuwepo, safisha mahali hapo(juu ya uke kwa maji na hakikisha hakuna sabuni).

*Kisha kwa kutumia kidole chako cha kati, ingiza taratibu pale ambapo uume unaingia, kwa kuanzia huitaji kwenda mbali sana. Zunguusa kidole hicho taratibu huku ukijimwagia maji kwa kutumia mkono wa pili, kisha kitoe (kitatoka na weupe mzito) safisha kidole na maji yako.

*Rudia tena na sasa kiingize ndani zaidi na ukizunguushe tena (huku ukijimwagia maji) na kukitoa utaona “utoko” mwingi zaidi kidoleni, rudia hatua hizo mpaka uhakikishe kidole kinatoka bila weupe(utoko) na utahisi hali ya usafi, hakuna utelezi.

Unapojimwagia maji ukeni huku kidole kiko ndani maji huingia pia ukeni na ndio maana mwishoni kabisa utahisi umesafishika vema kabisa na utoko huo hautotoka tena siku nzima na uke wako hautokuwa na shombo kali kama ambavyo siku zote ambazo ulikuwa hujisafishi.

Kwa wale wanaotumia “bath” au “shower” unafanya kama nilivyoeleza ila tofauti ni kuwa maji yataingia vizuri zaidi ikiwa unapata “bath” hivyo hakikisha “bath” sio ya kuchangia, maji ni salama(safi), usiweke sabuni (bath cream) au bidhaa yoyote yenye kemikali kwenye “bath” yako ili kuepuka matatizo ya kiafya na maambukizo mengine.


Uke na Kusafisha Utoko

Kwa kawaida wanawake huwa wanatoa majimaji yenye uzito tofauti hali inayotegemeza zaidi mzunguuko wako wa hedhi. Majimaji hayo hujulikana kama "utoko", Utoko huu huwa ni mweupe kama maziwa na huwa na harufu ya uanamke.

Utoko huanza kutoka pale unapokaribia ukuaji/mabadiliko/kubalehe, kutokana na umri mdogo wanaokuwa nao wakati huo (hawaruhusiwi kujisafisha zaidi ya pale juu kuondoa mkojo) utoko huo husababisha rangi mbaya ya chupi zao hasa kama ni nyeupe au zina rangi ng'avu kama nyeupe n.k. pale katikati.

Jinsi siku zinavyokwenda mtoko wa utoko huongezeka uwingi. Utoko ni muhimu kwa wanawake na una kazi yake ambayo ni kusafisha njia ya uzazi na uke kwa ujumla lakini kusema hivyo sina mana basi uyaache hayo mautoko yakae chupini ei?

Usafishaji hufanyika kwa ndani na unapotoka ina maana hauna kazi tena na hivyo huna buni kuundoa kwa kujisafisha kama ambavyo wanawake wote wanafahamu jinsi ya kujiswafi.

Unapofikia umri mkubwa na kujiingiza kwenye swala la mahusiano na hatimae kuanza kufanya ngono, huo ndio wakati muafaka wa wewe kuanza kujisafisha uke wako na kuondoa utoko ili kuwa huru (shombo free), kupunguza shombo ya "uanamke" kule chini wakati wa kufanya mapenzi, kupunguza siku za hedhi (kwa kawaida unakwenda siku saba lakini kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa unakwenda siku nne tu) na vilevile kupunguza maambukizo ambayo yanaweza kusababishwa na ufujaji wa utoko ndani ya uke wako.

Usafi wa Matako na Uke!


Kawaida ya mwanawake sio wa Kibongo tu bali hata yule wa Ulaya,Uchina,Uarabu na Umarekani hujali zaidi ngozi ya uso na akijitahidi sana itakuwa sehemu zinazoonekana kwa urahisi kama vile shingo, mikono, viganja na ngozi ya miguu.

Lakini maeneo kama tumbo na makalio huwa havijaliwi sana (sizungumzii mkorogo hapa tafadhali) nazungumzia ile hali kawaida ya kujali ngozi na kuwa msafi ktk maeneo hayo muhimu.

Unajua mwili wako mwanamke umeumbwa kuvutia kutokana na ile “mituno” asilia inayokufanya uwe tofauti na mwanaume hapo nina maana matiti, hips na matako.

Mituno hii huvutia ukiwa umevaa nguo na kufanya mtazamaji apendezwe na kuvutiwa lakini je akiondoa hizo nguo mituno hiyo itakuwa kama vile anavyofikiria?


Utunzaji/usafi wa matako na “hips” kwa njia ya asili.


Sote tunafahamu kuwa ngozi ya maeneo hayo sio sawa na ile ya sehemu nyingine ya mwili, maeneo haya hukabiliwa na vipele Fulani hivi vigumu, baadhi hupauka kuliko na wengi hukabiliwa na michirizi.


Hakikisha kuwa unasugua sehemu hiyo ya mwili wako kwa kutumia machicha ya nazi au unga wa mmea wa liwa kusugua maeneo hayo, fanya hivyo mara moja kwa wiki kama unamudu na una senti za kununua nazi na liwa basi unaweza fanya hivyo kila siku (ila mara moja kwa wiki inatosha kabisa kukupa ulaini wa sehemu hizo na kuondoa mpauko na vipele uzembe).

Njia nyingine kwa wewe mwenye ngozi ya mafuta ni kujisugua sehemu hizo kwa kutumia pumba za maindi au unga wa dona (mahindi yaliyosagwa bila kukobolewa/ondolewa ngozi)….

Vilevile hakikisha jamaa anamwaga kwenye makalio yako wakati wa ngono sio kila siku ndani tu au kwenye kondom kwani manii huboresha ngozi ukipaka kama mafuta/lotion ikiwa Jamaa lako choyo na shahawa zake basi wewe kula mboga za majani na kunywa maji kwa wingi na wakati huohuo unayasugua mapele hayo...

Hakikisha unasafisha na maji na unamalizia kupaka mafuta/lotion kila unapomaliza kuoga au kusugua makalio yako.

Usafi wa makalio sio kwenye mapele na ukavu tu bali kuna vile vinywele hujiotea kwenye mstari wa “ikweta” kuelekea au kuzunguuka sehemu ya kutolea haja nzito, wengi ambao hawashukiwi chumvini au hawabong’oi (hawafanyi mbuzi kagoma n.k) nasikia huwa hawajali ama hawajui kabisa kuwa wana nywele huko………huruhusiwi kucheka wala kushangaa hapo!

Mwanamke, hata kama hupindi/binuka harufu itasikika, huenda wewe huisikii kwa vile umezoea lakini mpenzi wako atavuta harufu hiyo yenye utata (mchanganyiko wa jasho, ute na mavi) hivyo hakikisha huto tunywele tunaondolewa kila tunapojitokeza hata kama wewe ni mtu wa kifo cha memde tu.

Jinsi ya kukata kiuno



Jinsi ya Kukata Kiuno

1-Simama wima(ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work better), weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (litunishe) baki hivyo kwa muda kisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena hivyo kwa muda. Rudia kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo na kumbuka kubana pumzi huku mdomo ukiwa wazi (itasaidia kukaza misuli ya tumbo pia), kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, chap-chap, kugandisha n.k) mpaka utakapo hisi tumbo lako linatetema/tikisika (yaani vibrating).

Msingi wa kukata kiuno

Kama nilivyosema awali, simama wima najishike kiunoni(kuhu na huku) kisha peleka sehemu ya kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo(nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya hapo peleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto-kushoto, kisha peleka sehemu yako ya mbele nyuma hali itakayofanya matako yako yabinuke/jitokeze kwa nyuma.....nyoosha magoti kisha rudi kulia (ulipoanzia).


Fuata hatua hizo kwa mara nyingine tena ambazo ni simama wima-kulia-mbele-kushoto-nyuma kulia x 20 na kuendelea inategemea zaidi na bidii yako.


Baada ya kuzoea hatua hizo hapo ndio unapotakiwa ku-create movements na mirindimo yako kivyako. Mfano lala chali, kifudifudi(lalia tumbo), ubavu, chutama, piga magoti n.k kisha nenda kulia-mbele-kushoto-nyuma-kulia mpaka kiuno kizoee..... alafu usisahau ukiwa ndani ya "game" kukilazimisha mpaka kitakapo kubali/zoea.

Kidokezo: Zoezi zuri la kukata kino ni kulala kifudifudi(kulalia tumbo) kisha kukizunguusha (hapa usipokuwa mwangalifu unaweza ku-cum via kisimi kwa vile unatua unakisugua kiaina sio mbaya ni njia moja wapo ya kujipunguzia stress sio ).

Shanga!



Hii ni kutokana na maombi mengi ya wasomaji wangu…..

Shanga ni topic tata sana kwangu kwa vile sina uzoefu nayo na kila ninapojaribu kuuliza watumiaji au wavaa huwa hawanipi majibu mazuri na yakuridhisha. Wanaume watakuambia wanapenda tu na wanawake watasema wanaume au wapenzi wao wanapenda wao wazivae.

Rafiki yangu wa Kighana alitoa maelezo ambayo nadhani yalikamilika japo hakugusua umuhimu wake kwenye ngono….aliniambia kuwa huko kwao Shanga ni muhimu kuonyesha kuwa wewe ni mwanamke wa shoka au uliyekamilika.
Ikiwa mwanamke huvai Shanga basi unaonekana hufai na hakuna mwanaume atataka kutoka na wewe/kuchumbia only kwa vile huna shanga kiuoni……hivyo wanawake wote wa Kighana wanavaa shanga no matter how beautiful, educated au westnized they are.

Turudi Nyumbani……nakumbuka niliwahi kumuuliza mama yangu (wao wanavaa shanga) faida ya shanga na yeye akanijibu kuwa ni kama sehemu ya “romance”….nikauliza ni sawa sawa na kubusu au kushikana?

Akajibu “ndio”…..nikauliza inawezekanaje mtu asisimke kutokana na kuziona shanga tu au kuzishika-shika tu? Akanijibu kuwa “mwanaume anapozichezea humpa mwanake mtekenyo furani ambao hufamfanya ajisikie raha na hamu ya kungonoka (nyege) huanza kumpanda”.


Mimi kama Dinah nikahisi kuwa mwanaume anaetegemea kuchezea shanga ili mwanamke “anyegeke” atakuwa hana utundu wa kutosha wa kutumia mikono na vidole vyake ktk kuuchezea mwili wa mwanamke hasa ukizingatia kuwa mwanamke “hanyegeki” kwakuchezewa na vidole kiunoni tu bali kona nyingi ktk mwili wake


Uvaaji wa shanga kiunoni ni moja kati ya tamaduni zetu waafrika, nakumbuka katika jamii ya Wanyamwezi (nadhani na Wasukuma pia as far as I remember miaka hiyo niliyoishi kona hizo za Tz ) shanga zilikuwa zikivishwa mtoto wa kike kiunoni na yule wa kiume alivalishwa kijikamba/uzi mweusi ambao huwa na vipande vidogo viwili au vinne vya mti akiwa mdogo.
Ssina hakika kwanini ilikuwa hivyo ila nakumbuka niliwahi kuambia kuwa vijiti vile ni kumlinda mtoto dhidi ya malaika wabaya (kama ilivyo kwa tamaduni nyingine kuwapaka watoto wanja ili watishe) na shanga ni kuonyesha kuwa mtoto ni wa kike.


Mtoto napofikia umri Fulani vikorokoro hivyo huondolewa na binti huvalishwa tena pale anapokua (vunja ungo/balehe), kule kwetu kila rangi ya shanga huwa na maana yake nikiwa na maana kama binti niBikira anavaa rangi Fulanikama uliolewa ukaachika wavaa rangi Fulani, kama umeolewa wavalishwa rangi husikakama siku hiyo wataka kufanywa (unanyege) basi wamvalia mumeo rangi husika,ikiwa ni mjamzito pia unapaswa kutuma ujumbe kwa kumvalia mumeo rangi fulani (ilikuwa mwiko kungonoka na mtoto tumboni) kama uko hedhini basi utalazimika kuongezea rangi nyekundu juu ya ile uliyonayo.
Itasaidia kama watakuja na rangi inayoashiria kuwa mtu kaukwaa a.k.a ana ngoma a.k.a UKIMWI.....wewe unaonaje?

Ilikuwa ni mwiko kuachia shanga hizo zionekane au zionwe na watu wengine ambao hauko karibu nao kama mzazi, mume, kungwi (shangazi au bibi) n.k. tofauti na sasa ambapo shanga huvaliwa kama mtindo na huning’inizwa hovyo bila kujali maana au ujumbe unaotumwa na rangi za shanga wazivaazo.


Ni wazi kuwa wanawake hawa wanaojivalia shanga hizo na kuzionyesha hovyo huwapa wakati mgumu watu au jamii ambayo inathamini nakutunza utamaduni halisi wa mwanamke kutilia shanga kiunoni na maana ya rangi husika.

Baadhi ya watu huwadhania wanawake wanaovaa shanga ovyo ni wapenda mambo ya ngono……hivi kuna mtu hapendi ngono hapa Duniani?
Bila ngono si dhani kama mimi na wewe tungekuwepo, ngono ni muhimu ktk maisha ya mwanadamu…..au jina lake ndio linawatisha watu? Haya basi tuseme kukutanisha na kuingiza uume ukeni…..bado halijakaa vema….kufanya mapenzi….aaah kufurahia utukufu na uumbaji wake mwenyezi Mungu.


Swala muhimu hapo sio kuwashutumu na kuwahukumu wavaaji hao wa shanga bali ni kuwaeleza kwa uwazi swala zima la shanga……tuache utamaduni wa kubana-bana yale tuyajuayo ili sote tubaki kwenye mstari na ikiwa moja kati yetu atatoka mstarini at least atakuwa anajua nini anafanya au niseme ujumbe gani anaufikisha kwa watamzamaji wa shanga hizo.


Hii yote inatokana na wakuwa (bibi, shangazi, mama) ktk jamii kujisahau na kung’ang’ania mijini na kushindwa kuwatambulisha watoto wao tamaduni za huko watokako (asili yao) hivyo wanakuwa hawajui au wanajifanya “wazungu” na kutofuata tamaduni na badala yake wanafanya watakavyo…..


Mimi nimezaliwa Jijini Dar ila kule kwetu (asili yangu) wanavaa shanga na ninajua mambo mengi kuhusu tamaduni ya kwetu ikiwa ni pamoja na kutambulishwa maana halisi ya shanga na rangi zake……lakini mimi kama mimi sivai shanga sio tu kutokana na mtindo wangu wa mavazi bali pia sivutiwi au sijisikii vema ikiwa nitavaa shanga au hata nikiziona (hasa lundo) zinaning’inia kwa mtu mwingine (kama hiyo picha hapo juu) huwa naona ka’ uchafu vile….kama ni kijiuzi kimoja cha shanga au cheni poa ili kuongezea/ziba "kizugaji" uwazi fulani wa vazi lako if u know what I mean.

Bofya hapa… kisha kong’oli kwenye “comments” utakutana na maelezo ya dada mmoja ambayo yanaweza kukusaidia.

*Wewe mwanaume kwanini unapenda mpenzi avae shanga kiunoni? Unazitumia vipi zikiwa kiunoni na zinakufanya ujisikie vipi?

*Na wewe mwanamke ikiwa unavaa shanga mpenzi wako huzitumia vipi wakati wa kufanya mapenzi?

Kumbuka hapa sote tunajifunza hivyo maelezo yako ya uwazi yatasaidia sana watu wengine hasa wale wasiojua utamaduni wa shanga na maana yake halisi.
Ty.

Wednesday, August 18, 2010

USHINDI KATIKA UJANA

Na Kaka Edward Mwasakafyuka



Kijana ni nani?
Kijana ni mtu wa kike au wa kiume mwenye umri kati ya miaka 15 na 45.

Biblia inasema nini juu ya kijana?
Biblia imenena mambo mengi juu ya kijana, na baadhi ya hayo ni kuwa fahari ya kijana ipo katika nguvu zake (Mithali 20:29). Kijana ana nguvu nyingi, neno la Mungu linakaa ndani yake na kisha amemshinda shetani(1Yohana 2:14b).
 
Yohana  anawaandikia vijana akisema wana nguvu nyingi, pili neno la Mungu linakaa ndani yao na kisha wamemshinda shetani. Nguvu yaweza kuwa ya kiroho au ya kimwili, maana zote ni za muhimu na mara nyingine hutegemeana katika utendaji.
Nguvu moja ikikosekana hujitokeza upungufu unaoweza kupelekea uharibifu kama vile mtu kurudi nyuma kwa sababu ya majaribu. Nguvu ya kimwili ya mtu wa Mungu ikitumika kwa mujibu wa uongozi wa Roho Mtakatifu, yaweza kupelekea mtu kuwa na nguvu ya kiroho iletayo ushindi juu ya hila na mitego ya yule mwovu.Hapa ina maana kuwa, kwa mtu wa Mungu ukiwa na nguvu ya kimwili na unaongozwa na Roho wa Mungu utamtumikia Mungu pasipo ulegevu, tofauti na mzee ambaye anaweza kuhitaji kufanya jambo lakini nguvu ya kwenda kufanya hana, hilo nalo Mhubiri aliliona na kumhamasisha kijana kutumika akiwa bado anazo nguvu. Mhubiri12:1 ”Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku zilizo mbaya…“ Yohana anawaandikia vijana akionyesha sifa za  aina ya vijana aliokuwa akiwalenga. Anatazamia kwamba kijana akiitumia nguvu hiyo kama ilivyokusudiwa na Mungu, na kulisoma neno, kuomba kwa bidii zake zote, matokeo yake atakuwa na hazina tele ya neno ndani mwake, na kisha atamshinda shetani, maana anazo  nguvu za kiroho na za kimwili. Kijana wa aina hii hana hofu maana hata shetani akija kwa sura gani au akitumia mazingira gani, haogopi maana silaha alizo nazo (Neno) ni tishio kwa adui. Mungu anawatafuta vijana kama hao wabebao silaha hiyo ya Bwana , nyakati zote, kila mahali na kwa bidii.  ”..Nimewaandikia ninyi vijana, kwa sababu mna nguvu, na neno la Mungu  linakaa ndani  yenu, nanyi mmemshinda yule mwovu“(I Yohana 2:14b).

Biblia inasema kijana akilitii Neno la Mungu na kulifuata litasafisha njia yake. Litamkamilisha kwa kiwango anachotaka Mungu, kwa makusudi ya Mungu na kwa utukufu wa Mungu. Kwahiyo ili  kijana aweze kuishi maisha matakatifu, yenye ushindi tele na yanayomtukuza Mungu yampasa kuisafisha njia yake kwa kutii, akilifuata neno la Mungu. Zab.119.9 ”Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako.“

Kijana, kufanikiwa kuisafisha njia yako kutategemeana na wewe mwenyewe utakavyotumia nguvu zako. Yakupasa kuelekeza nguvu zako katika maombi, kujisomea Neno la Mungu, hii ni pamoja na kulitafakari na kulitendea kazi. Kwa kufanya hivyo utapata nafasi nzuri ya kumsikiliza Mungu na kujua ni nini mpango na makusudi yake kwako. Kijana hupaswi kulala usingizi tangu jioni hadi asubuhi na tangu January hadi Desemba, huo ni msiba wa kutosha kwa kijana maana Biblia inasema mtu wa aina hiyo atapata umaskini wa kumtosha. Si vema kijana kuzagaa, ukikutwa na adui ukiwa umezagaa atakutumikisha katika matakwa yake. Ni muhimu sana kijana kuwa na mikakati na kuiombea ili kupata uongozi wa Roho Mtakatifu. Mungu anajali sana kijana kuwa na mkakati. Mfano mzuri ni namna alivyomwandaa Yoshua kushika nafasi ya Musa. Awali ya yote alimhakikishia uwepo wake pamoja na kijana huyo,  na akamwahidi kutomwacha wala kumpungukia kabisa: ”Hapatakuwa mtu yeyote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote  za maisha yako…sitakupungukia wala sitakuacha.“ (Yoshua 1. 5).

Hapa Mungu anamhakikishia Yoshua kuwa, hata kutokee tatizo kubwa kiasi gani, hata vitisho viwe vikubwa namna gani, hata ainuke nani, asingeweza kuzuia wala kukwamisha kusudi la Mungu katika huduma aliyokuwa anakabidhiwa na Mungu, ya kuwafikisha Waisraeli nchi ya Kanaani. Hali kadhalika wewe kijana, yumkini bado unawategemea wazazi au ndugu, lakini kwakuwa umeokoka labda wamekutenga, hawataki kukupa huduma, hata masomoni unatishiwa kufukuzwa kwasababu huna karo; yumkini umeoa au umeolewa na huyo mume au mkeo anakutesa kwa ajili ya wokovu; kazini unanyanyaswa  na mkubwa wako wa kazi au wafanyakazi wenzio, halikadhalika kwenye biashara zako wanakutesa kwa njia mbalimbali. Katika hali yoyote ile, jambo la muhimu uwe na uhakika kwamba Mungu yupo pamoja na wewe na kwamba hatakuacha wala hatakupungukia. Hivyo usikate tamaa, azimia kutomwacha Mungu kabisasimama katika haki na ahadi za Mungu, utaona ushindi mkubwa.

Baada ya Mungu kutoa uhakika juu ya uwepo wake kwa kijana huyo Yoshua, alimpa mikakati ya namna atakavyoweza kufikia lengo ambalo lilikuwa kuwafikisha Waisraeli katika nchi ya ahadi, Kanaani. Mikakati hiyo ni kama ifuatavyo:

1. Uwe hodari tu na ushujaa mwingi….
Mungu hapendezwi na uvivu, alitaka Yoshua awe hodari tu na ushujaa mwingi na siyo mtu wa kujihurumia hurumia bali awe mwepesi wa kwenda anakotakiwa, kutekeleza majukumu ambayo Mungu angempa inavyotakiwa, kwa wakati unaotakiwa, na pasipo hofu. Huo ndiyo ushujaa.
 
2. ...uangalie kutenda sawasawa na sheria yote aliyokuamuru Musa mtumishi wangu; usiiache, kwenda mkono wa  kuume au wa kushoto.(Yosh. 1.7). 

Mungu anamwambia Yoshua, aangalie kutenda sawasawa na sheria yote aliyokuwa ameamriwa na Musa mtumishi wake Mungu. Swala kuu hapa ni utii wa neno la Mungu. Kwamba kijana hatarajiwi kuwa msikilizaji tu wa Neno la Mungu na kuendelea na maisha ya kidunia. Kijana anahitajika kuwa msikiaji na mtendaji/mtekelezaji wa maagizo ya Mungu ndani ya Neno.

Mungu anasisitiza katika mstari wa nane kuhusu kutafakari Neno. Mungu alimtaka Yoshua, kuhakikisha siku zote za maisha yake anafanya Neno la Mungu kuwa sehemu ya maisha yake. Alimtaka akiwaza awaze (atafakari) Neno mchana na usiku, maongezi yake yawe na msingi katika Neno. Kuhusu kutendea kazi Neno, Mungu alimwambia Yoshua aangalie kutenda sawasawa na maneno yote  yaliyoandikwa humo (ndani ya torati/Neno.

”Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo…."(Yoshua 1:8).

Kwa maana hiyo, iwe usiku iwe mchana kijana saa zote unatakiwa kutafakari neno la Mungu siyo kuwaza shida, taabu na masumbufu ya dunia hii. Kulitafakari Neno huja baada ya kulisoma, Daudi alisema: ”Moyoni mwangu nimeliweka neno lako,  nisije nikakutenda dhambi“ (Zab. 119.11).

Alilisoma na kisha akalihifadhi moyoni. Neno hilo katika hazina ya moyoni, likawa mshauri, mwongozo na faraja  wakati wa majaribu, mapito au mateso. Na kwa kulitamka likafanyika fimbo ya kumwangamiza adui, na kufungua milango ya baraka iliyofungwa na adui na pia likatumika hata kubadilisha mazingira kama Ezekia alivyotamka uhai kwa mifupa, ikainuka ikiwa hai na kuwa kikundi kikubwa cha watu.

Ili uwe na maisha yenye mwelekeo wa ki-Mungu na ya mfano, epuka kabisa kuwaza mambo mapotofu, epuka mazungumzo mafu yasiyo na uhai wa ki-Mungu maana yatakuharibu wewe pamoja na wakusikilizao, pia matendo yoyote yaliyo kinyume na Neno la Mungu epukana nayo. Mungu alijua kuwa kijana huyu Yoshua asiposisitiziwa na Mungu mwenyewe, asipoishi kwa Neno ambalo ndiyo lishe bora ya roho yake, angeharibikiwa, na hapo kusudi la Mungu la ukombozi wa wana wa Israel lingeyumba. Hali kadhalika wewe usipoishi kwa kulitii Neno na kufanya kama linavyokuagiza, adui atayumbisha mpango wa Mungu katika maisha yako, matokeo yake ni kuchanganyikiwa, kukata tamaa na hata kufa kabisa kiroho. Lakini ukisimama pasipo kujali mazingira yanayokuzunguuka, Mungu anao mpango mzuri sana na maisha yako na ndiyo maana amekuokoa (amekuita). Yumkini wewe ndiye wa kwanza kumpa Yesu maisha yako katika familia au ukoo wako. Mungu anategemea kukutumia wewe kulifikisha kundi hilo nchi ya ahadi kama alivyomtumia Yoshua. Zoezi hilo litafanikiwa iwapo utakuwa hodari tu na mwenye ushujaa mwingi, na kutenda sawasawa na Neno kama linavyoletwa kwako na Roho Mtakatifu mwenyewe kupitia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na ujumbe huu unaousoma sasa.
 
*************
 Bwana akupe ushindi siku zote.

BIASHARA MATANGAZO

Jama hapa sio kwamba ni poz ila ni katika hali ya kutangaza soko la chupi.Kama uhamini basi leo ndo nakujulisha.
Najua unaweza sema kuwa anachzka na mziki lakini ukwel ndo huo mtoto ananadi chupi.

Tuesday, August 17, 2010

Stephen Chaba

Hapa Programmer wa Morogoro Stephen chaba katika mapumziko yake baada ya kupop Moro guest house

Je umewai kusia kansa ya Matiti?

Hapa ni Dr.Lewis wa uingereza akimchungunza mdada wa kifaeansa anayesumburiwa na matatizo ya kansa kwenye matiti.
Hili ndio titi lenye matatizo.

Monday, August 16, 2010

Bizzo

Kuma ni kuuza basi kaka bizo umeuza vya kutosha sasa nii wakati wa kusoma mzee.Mshaulini mwenzenu afu uyu jamaa mbona kila picha zate yeye na masela mademu atuwaoni au ndo mdomo umetiwa gundi.

Wasicha bikira

Kila mwaka mfalme Mswati wa Scottland huwa anaoa msichana mmoja bikra sio siri jamaa anachofanya ni zaidi ya polygamy.

Pole sana Mungai

Pole sana Muheshimuwa pamoja wa wenzako mliopelekwa mahakaman kwa tuhuma za kutoa rushwa ili muweze kupita katika kura za maoni za CCM.Lakini napenda kusema y kwamba kama nikweli basi vizuri mkaomba radhi wa watanzania na kama ni kweli basi acheni sheria ichukue mkondo wake mpate ka adhabu na nyie.